Bango la matangazo baada ya dakika 90
Wachezaji pamoja na viongozi wa Ethiopia katika benchi la ufundi wakifurahia ushindi wa timu yao |
Hekaheka wakati wa mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa wanawake uliofanyika kwenye Uwanja wa Tanifa jijini Dar es Salaam leo. Ethiopia imeshinda 1-0 na kuitoa mashindanoni timu ya Tanzania a.k.a Twiga Stars. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...