Home
Unlabelled
utaalam uliotukuka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeipenda, ila siyo ya kujivunia maana he is just playing with time bomb, ukiangalia huo mti una miaka kadhaa, je amejiandaaje na kuvunjika kwa mbuyu???? ina that case ukivunjika tenants would be users of the proprert fate yao itakuwaje? nyumba ingekuwa strong enough say concrete flat roof tungesema there are some precautions taken against colapsing Baobab Branches lakini kama ilivyo sikai hapo ng'o..... mchana mwema.
ReplyDeleteNadhani hakupata ushauri wa kutosha kabla ya kuamua kujenga
Ujenzi na Mpango wa makazi wa namna hii!
ReplyDeleteMmiliki wa majengo hayo yaliyo na mbuyu katikati ana uhakika gani na ustawi wa mmea huo kama hautaanguka karibuni, kunyauka au kuchanika kwa kupigwa na radi?
Hivi hapa nchini tuna Bima za Majengo?