Makundi mbalimbali ya wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya kitaifa wakiwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo leo katika Kijiji cha Nala mkoani Dodoma jinsi ya kutumia ramani katika zoezi la sensa ya watu ambayo inatarajia kufanyika nchini kote tarehe 26.08.2012. Wakufunzi hao wako mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya kuwawezesha ili nao waende kutoa elimu hiyo katika ngazi za mikoa.Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dodoma
Home
Unlabelled
wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya Kitaifa waendea kupigwa msasa mkoani Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Napamiss Dodoma!
ReplyDeleteUsione pazuri hivyo ni kwa vile mvua ilinyesha si siku nyingi,vinginevyo ni jangwa. Alafu mumea uliombele hapo Bukoba unaitwa kitaterande ni dawa nzuri sana hiyo.
ReplyDelete