Katika moja ya mada ya kila jumapili ya mambo ya taswira na 
kupiga picha Ankal atazungumzia hili. Stay tuned... Its not a big deal!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    hii ni biashara katikati ya jiji la london ,unapewa kiti na jamaa anakutoa kwenye paper kama ulivyo, bei usiulize!

    ReplyDelete
  2. As you said...it's not a big deal! Juu hapo ndio mambo ya 'drag n' drop' hayo, huyo mwingine nae anageresha tu hapo na hiyo penseli yake (kalamu ya mkaa), hana machoraji ya hivyo, picha ilikuwa hapo tayari (baada ya kuwa edited katika design hiyo), same the other one down, mambo ya 'graffiti', ispokuwa tu hiyo image hapo has been inserted n' look like the guy is doing the job. It's a good imagination, congrats!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2012

    hawa watu wanaoishi UK wana matatizo ya akili nadhani wao wakiona kitu kutoka ulaya wao ni LONDON TU

    hivi ulaya ni uk tu au uncle ametembelea uk tu,

    nyinyi wa uk wacheni ushamba na tembeeni mujionee nchi nyengine za ulaya hiyo UK muliyo ni sawa sawa na mbeya tu

    hakuna lolote la maana hapo ila najuwa nyinyi ndio mulitoka moja kwa moja kutoka julias nyerere .....mpaka uk jengine hamulijui wala hamtembei nchi nyengine za ulaya kwahi mnachokiona chochote ni london hata mukiona APPLE mutasema liko UK tu wajinga nyinyi

    tembeeni hata nchi za vishoka hii kazi zinafanywa na ukiona mtu mweupe sio UK TU

    wacheni kasumba za kijinga nyinyi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2012

    Heeeeeeee!makubwa!

    ReplyDelete
  5. mdau wa tatu umeongea ukweli mtupu wabongo wa uk malimbukeni balaa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2012

    Anony wa 10:52 AM, do you need a hug or something? You sound so needy and very stressed. Poor you. Mtu katoa comment yake kutokana na mahala anapoishi, tena kwa mistari miwili tu, lakini wewe umemwattack kwa a whole paragraph na matusi tele! Really, don't you think that was rather uncalled for? Inakuuma nini hata kama wewe unakaa 'Mbeya' na yeye London?? Watanzania tuna matatizo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2012

    NIMEPENDA SANA TECHNICAL EXPLANATIONS. NA WALIO TOA MIKASHFA NI WIVU TU. WENGI WALIOKO BONGO WANAKANDIA KWELI KILA KILICHO NJE. HUKU WANATAFUTA KILA NJIA KUONDOKA TZ.NDIO YALE YALEE SIZITAKI MBICHI HIZI

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 23, 2012

    haya basi tuseme hata mbeya yako! bado kuna shida? uk na mbeya sawa kote baridi inapatikana, ila mmmmmh si kweli sawa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...