DAIMA huwezi zungumzia bidhaa za maziwa bila kutaja bidhaa za ASAS Dairies IRINGA ambao huzalisha bidhaa za aina mbalimbali zitokanazo na Maziwa halisi ya Ng’ombe. Maonesho ya 36 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanaendelea katika Viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam ASAS DAIRIES wapo katika banda la KARUME fika hapo na ujipatie mahitaji yako ya Maziwa.

Bidhaa zimesheheni na vinavyostahili kuliwa vya Baridi utavipata baridi kwa fleva za kila namna

 Wateja wakubwa kwa watoto wakijipatia bidhaa za maziwa bora kutoka banda la ASAS ndani ya Maonesho ya Saba Saba.

Karibuni katika Banda la Bodi ya Maziwa Tanzania na utawakuta ASAS DAIRIES kwa bidhaa bora za Maziwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    hAYO MAZIWA UNAWEZA KUNYANG'ANYANA NA MTOTO. MATAMU AJABU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...