Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) asubuhi ya leo wakati wa kukabidhi msaada wa sh. Mil 5 kwa Idara ya Masoko ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,ikiwa ni kwaajili ya kuwezesha kufanyika kwa Kongamano la Mambo ya Utalii linalotajaria kufanyika Huko Zanzibar kuanzia Agosti 8-9,katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.Kulia ni Mkuu wa Idara hiyo kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dkt. Lufumbi Mwaipopo.
 Mkuu wa Idara ya Masoko ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dkt. Lufumbi Mwaipopo (kulia) akielezea namna Idara yake ilivyojipanga kulifanikisha Kongamano hilo la Utalii litakalofanyika huko Zanzibar kuanzia Agosti 8-9,2012 katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania,Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 5 kwa Mkuu wa Idara ya Masoko ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dkt. Lufumbi Mwaipopo (kulia) ikiwa ni kwaajili ya kuwezesha kufanyika kwa Kongamano la Mambo ya Utalii linalotajaria kufanyika Huko Zanzibar kuanzia Agosti 8-9,katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.katikati ni Mhasibu Mkuu wa Kongamano hilo,Winnie Nguni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...