GLOBU YA JAMII INAWATAKIA MFUNGO MWEMA WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI WAISLAM WOTE  POPOTE WALIPO 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2012

    Ramadhan kareem to all Michuzi wadaus.
    Mwezi huu ni mtukufu sana na unawapa binAdam wote sio waislam tu bali wote fursa ya kureflect on your life. Think of the very reason for your existence here. Its a month of self discipline, charity, prayers, forgiveness and tolerance.Nawaomba ndugu zangu wa dini nyingine wajaribu kufunga ingawa siku moja tu, as a form of submission to your creator and a way of trying to understand the difficulties of those less fortunate than you. Mungu awazidishie, Mungu awalinde.
    Ramadhan Mubarak

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2012

    Amiiiin Ramadhan Kareeeem!


    Muwe mnaturushia na clips na you tubes za Quran ili tuweze kujinafasi zaidi.

    Ahsante Libeneke kwa salam.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2012

    http://www.alhidaaya.com

    Kwa huyo ndugu aliyeuliza links,na kwa jamaa wote tembeleeni hiyo hapo juu. Namini Michuzi alitoa link hiyo kabla ya hapa. Ni nzuri na ina mambo mengi ya kusisimua, pia Quraan.Jamaa wasaidieni masheikh wetu kutumia laptops wajionee wenyewe miujiza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2012

    Naomba nielimishwe, hivi kwanini wakati wa mfungo mtukufu bajeti ya chakula inakuwa kubwa kwa wanaofunga?
    Kwa wakristu ninachofahamu wakati wa kwaresma, wao wanajinyima baadhi ya mambo na hela watakayo serve wanatoa sadaka au kuwapa masikini.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2012

    Ramadan Kareem kwa wote. Kuwa family ya Kassim. Mansura, Hamida, Fazel, Khadija, Bimkumbwa, Mariam. Kwa family ya Ngazija, UK, Turkey na Canada.Mungu apokea dua zetu. Amen.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2012

    Wakiristu kwa rezama wana jinyima na kutoa sadaka wewe acha wewe, na hao ni wakiristo wa aina gani tufahamisha, because wako wengi tu, wakatolik, wa anglican,walokole etc

    kwanza wanafunga inavyotakiwa hiyo kwaresma na kwa nini wawe wanatoa sadaka tu siku hiyo isiwe siku zinginewe, what you trying to say man

    come out of kabadi usema ulichonacho rohoni japo kuwa nisakufanya zamani

    mwana psychologia

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2012

    jazakha Allah kheir issa michuzi kwa kutuweka hii kitu kwa siku yetu tukufu na nimependa sana comment za mdau wa mwanzo, mfungu huu wa ramadhan ni kweli wetu sisi waislamu lakin its for all human beings to experience its wajaribu waona wajifunzi wenzetu wasio waislamu, NYERERE mbona alikuwa anafunga alivyoambiwa awe karibu na mungu wakati wa kugombea uhuru na alifunga KIISLAMU SI KWARESMA NA KUFTARI NA WAISLAMU KAMA WAFANYAVYO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...