Home
Unlabelled
FINA MANGO NA KIPINDI KIPYA CHA MAKUTANO NDANI YA MAGIC FM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fina nakufagilia kinoma ,umebobea ktk fani yako ya utangazaji.Mimi nipo ughaibuni na huwa ninawapata clouds fm hewani.Big up from Big Joe
ReplyDeleteJamani FINAAAAAAA........Enzi zenu na Masoud Kipanya kule Clouds mlikuwa bomba sana mama! Any way, twakutakia kila la kheri dear. And you look great Fina. Just keep up the good work girl!
ReplyDeleteHivi hakuna kazi zingine zaidi ya utangazaji wa radio na TV jamani? Maana kila aliye maarufu sasa anataka kuwa mtangazaji na anataka awe kipindi chake yeye peke yake,tutafika kweli???
ReplyDeleteMchukue na kipanya sasa
ReplyDeletelooking good girl
ReplyDelete