Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2012

    Fina nakufagilia kinoma ,umebobea ktk fani yako ya utangazaji.Mimi nipo ughaibuni na huwa ninawapata clouds fm hewani.Big up from Big Joe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2012

    Jamani FINAAAAAAA........Enzi zenu na Masoud Kipanya kule Clouds mlikuwa bomba sana mama! Any way, twakutakia kila la kheri dear. And you look great Fina. Just keep up the good work girl!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2012

    Hivi hakuna kazi zingine zaidi ya utangazaji wa radio na TV jamani? Maana kila aliye maarufu sasa anataka kuwa mtangazaji na anataka awe kipindi chake yeye peke yake,tutafika kweli???

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2012

    Mchukue na kipanya sasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...