1: Bungalow located at Mtoni Kijichi with title deed price USD 300,000/=

2: House at Kijitonyama near Science price at TZS 350 million.

Talk straight to owner no middle men, serious buyers only call 0713 32 77 13

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2012

    milioni 350 ndogo sana hiyo nyumba lazima itakuwa ya kimasikini kwakweli sijaipenda

    nitafutieni nyumba ya milioni 3500 elfu tatu na mia tano milioni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2012

    Hii bei huwa mnazitoa wapi? Nani anazipanga? Maana naona watu huwa wanabandika tu manamba na ukienda kuona hizo nyumba zinazotangazwa ni vituko vitupu. Watanzania tuwe serious!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2012

    ah hiyo bei mbona ndogo sana ukilinganisha nchi yetu ina mafisadi wengi sana wanaoweza kununua zaidi ya bei hiyo hebu ongeza kidogo mdau

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2012

    Is a house costing that much in mtoni kijichi!!!!!!! what kind of a bugalow is that. Can ou show it to us. Since when has mtoni Kijichi become prime area. Msituingize mkenge.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2012

    Watanzania, tuwe na muamko wa kutambua wajibu wetu wa kulipa kodi! Bei ya hizo nyumba zinatakiwa zilipiwe kodi ya VAT ya asilimia 18 zinapouzwa. Kwa hiyo bei zilizotajwa zitakuwa haijajumuisha na kodi ya VAT. Kodi ya VAT italipwa na mnunuzi. Aidha muuzaji atatakiwa alipe kodi ya Mapato ya asilimia 15 kutokana na FAIDA atakayopata.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2012

    Mtoni kijichi cost that much you can have it.

    ReplyDelete
  7. Anny. wa 10.34 umenena! sijui bei hizi wanazitoa wapi! na sijui kama TRA wanafuatilia UFISADI huu! Nchi urafikiri haina Mamlaka za kufuatilia mambo haya!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2012

    Heheh! Mchangiaji wa kwanza anacheza tuu humu ndani, anajifunza ku post. Kajichanganya mpaka kwenye hesabu maskini.
    Anataka nyumba iuzwe Bilioni 3.5!
    Almost 2.2m dollars!

    Definitely playing.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2012

    Mdau Wa pili kuna vitengo vinatambulika na Serikali wanakuja kutathmini bei ya nyumba, wakizingatia eneo, ukubwa wa kiwanja na ukubwa wa nyumba then wanatoa thamani. Mwenye nyumba unaanzia hapo, kwa sababu in biashara lazima unapandisha. Maeneo ya sayansi hizo ndio thamani za nyumba wala hapajakosewa kitu in basi tu humu wamejaa wajuaji.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2012

    Mtoni kijichi IS a prime area, uliza utaambiwa au nenda kaangalie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...