J&M Virgo wameshusha mali mpya,hivyo bado hujachelewa waweza fika dukani kwao Mikocheni kwa Warioba, jijini Dar (ukiwa unatoka mjini angalia kushoto kabla ya kituo cha basi) , hususan katika jengo jipya la C&G Plaza! Hapo wameshakuletea viwalo bomba toka ughaibuni tayari tayari kwa Siku Kuu ya Idd.
Home
Unlabelled
J&M Virgo wameshusha mali mpya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...