Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha kwa bashasha, Mwekezaji kutoka Nigeria, Aliko Dangote, wa Dangote Industries Ltd alipowasili Ofisi Ndogo ya Makamo Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo, Julai 15, 2012, kwa ajili ya mazungumzo mbalimbali ikiwemo namna mwekezaji huyo anavyoweza kufanyakazi na Chama Cha Mapinduzi katika nyanja kadhaa za kibiashara. Katikati ni Balozi wa Nigeria hapa nchini, Dk. Ishaya Nanjabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2012

    CCM ni chama cha siasa,CCW ina endesha biashara gani ambayo inahitaji mwekezaji? Maelezo tafadhali.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2012

    Nigeria yajulikana vema duniani kwa SHUGHULI PEVU wazifanyazo.

    Sasa CCM wana ajenda gani na hawa WATAALUMA??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2012

    CCM lazima iwekeze katika mali zake ili iweze kujiendesha bila ya kutegemea ruzuku

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2012

    nanyinyi hamsomi mbona walishasema anataka kujenga kiwanda cha saruji mtwara kazi kuuliza maswali wakati majibu yako humuhumu vichwa hovyooo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2012

    very stupids questions "aksing"kids dominate this blog. Better check your heads at the "hosiptal"

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2012

    i cant go that far to call them stupid, pengine hiyo issue ya kujenga kiwanda cha saruji, hawakuiona au hawakuchukua muda wa kusoma habari yote. Kwa vile Naigeria inasifa za janja mbovu,hata wazungu wamelizwa sana na ndugu zetu hawa,ndiyo maana mtu anakimbilia kutoa maoni au kuuliza hivyo. Kingine, unapotafuta mchumba ,unaulizia sifa zake ziko vipi ? na ukiambiwa anatoka Nigeria !! lazima ugune kidogo. Zebedayo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2012

    Acheni kuilaumu C.C.M kwa pupa!.

    Someni FORBES RICH LIST pamoja na IMF and WORLD BANK REPORT ON PERSONAL HERITAGE MUONE:

    ALIKO DANGOTE Heshima zote zimfikie!

    SIFA ALIZONAZO MHE.ALIKO DANGOTE:

    1.NDIYE TAJIRI MWAFRIKA MWEUSI NAMBA MOJA (1) ANA JUMLA YA RASILIMALI ZENYE THAMANI YA 10 BILLION US DOLLARS.

    2.MALI YEKE AMEIPATIA KTK UWEKEZAJI NDANI YA AFRIKA NA WALA SIO NJE.

    3.HUYU JAMAA NARUDIA KUSEMA ASSALAMA LEKKO ZAKE KWA SANA TU, HANA REKODI CHAFU YA WIZI, UKWEPAJI KODI NA UFISADI, YEYE NI KIGEZO CHEMA KWA WAAFRIKA WOTE PAMOJA NA HAO NDUGU ZAKE WA NIGERIA WANAOLAUMIWA, HIVYO MALI YAKE AMEICHUMA KWA NJIA ZINAZOKUBALIKA KIHALALI.

    4.ANA NIA NJEMA YA KUGAWA RASILIMALI NA KUONDOA UMASIKINI KWA WAAFRIKA KWA KUTOA TOFAUTI YA KIPATO BAINA YA WATU WA AFRIKA.

    5.UWEKEZAJI KTK VIWANDA VYA SIMENTI TAYARI ALIKWISHA PENYEZA MTAJI WAKE KWA NJIA YA 'MEAGER AND AQUISITIONS' AMENUNUA HISA KUPITIA MASOKO YA HISA KTK VIWANDA KARIBU VYOTE VYA SIMENTI AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.

    HIVYO WEWE UKIWA KWAKO KIMARA BONYOKWA UKIWA UNAFYATUA MATOFALI UJUE MHE. BILIONEA ALIKO DANGOTE AMEKUWEZESHA!.

    6.JAMAA ANAJALI AFRIKA NA MUSTAKABALI WAKE, ZAIDI YA UWEKEZAJI KTK SIMENTI ANAWEKEZA KTK DHAMANA ZA MABENKI(TREASURY BONDS) KWA NCHI NYINGINE NYINGI ZA AFRIKA.

    7.NI MTU WA KUJICHANGANYA NA WATU WA AINA ZOTE HASA WAAFRIKA WENZAKE, HANA MAKUU LICHA YA UWEZO MKUBWA WA KIFEDHA ALIOKUWA NAO.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2012

    Komeni kuishutumu CCM na pia kumchafua Mhe.Aliko Dangote!

    Hamfuatilii mambo ya Kimataifa mnarukia kutoa Maoni tu.

    Mkiona mtu anatajwa na Mashirikisho kama World Bank, IMF,UN na Taasisi zake mjue huyo sio mtu wa kubabaisha.

    Wapo wanaojitahidi kwa uwezo wa kifedha na mali ktk Afrika mfano Masheikh wetu wa Ujambazi wa mtutu wa bunduki Maharamia wa Kisomali na Mawakala wa Biashara chafu za Silaha, Madini na Madawa ya Kulevya lakini wote hawa hawaheshimiki na Mashirikisho hayo hapo juu (World Bank, IMF, UN na Taasisi zake) kwa vile fedha hizo ni chafu!

    ISIPOKUWA MALI NA FEDHA ZA ALIKO DANGOTE NI SAFI IMETHIBITISHWA HAZIHUSIANI NA WIZI,UFISADI, UKWEPAJI KODI NA BIASHARA ZA MAGENDO.

    Anakadiriwa kuwa na US$ 10 Billion.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...