TIMU ya Kivule Veteran imeanza mazoezi ya nguvu leo katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Misitu, Ilala, Dar es Salaam. Pichani ni matukio mbalimbali ya mazoezi hayo pamoja na timu tatu za veterani, vijana na watoto ambao asilimia kubwa wanaishi katika eneo hilo, lililopo katika Jimbo la Uchaguzi la Ukonga. Picha na Kamanda Mwaikenda

Timu ya Kivule Veterani iliyoanzaisha hivi karibuni
 Kamanda Richard Mwaikenda (aliyesiama kushoto) ni miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo ya Kivule Veterani
Timu ya vijana ya Kivule
Timu ya Watoto ya Kivule

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...