Kocha Mpya wa Timu ya Yanga kutoka nchini Ubelgiji,Tom Saintfiet akilakiwa na Mashabiki wa timu hiyo waliofika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere,Jijini Dar es Salaame leo kwa aajili ya kumpokea wakati akiwasili.akiongea na waandishi wa habari Mashabiki wa yanga waliofika kumpokea kocha mpya wa timu hiyo, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji
Kocha Mpya wa Timu ya Yanga kutoka nchini Ubelgiji,Tom Saintfiet akiongea na waandishi wa habari na Mashabiki wa yanga waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere,Jijini Dar es Salaame leo
Mashabiki wa Timu ya Yanga wakimfurahia Kocha wa Timu yao.Picha na Francis Dande.
bongo ipo kinyume nyume kweli
ReplyDeleteumesikia lini ubeligiji ikawa na timu nzuri ya mpira?
tokea lini umewahi kuona timu ya mpira ya belgiji?
leo hii kocha anatoka belgiji hahahaha
bado mtatuletea kocha kutoka india
kaa hvyovhyo, ndo keshatua tena! NGOJA TUWAPIGE 10-0
ReplyDeletesuala siyo kocha anatoka nchi gani,kuna nchi kama serbia haijulikani katika soka lakini imekuwa inatoa makocha wazury.suala hapo je huyo kocha atapewa muda wa kutosha na mazingira ya kufanyia kazi au ndo siku mbili wadau wanaanza kufanya yao.
ReplyDeleteTatizo ni utaratibu mbovu wa viongozi kusajili wachezaji kwanza na baadae ndio wanatafuta kocha, sasa kama akiona wachezaji hawafundishiki si atafukuzwa? Kwa taarifa yako mdau hapo juu, serbia wanacheza mpira wa hali ya juu!!!
ReplyDeletehahhaha wewe mdau unazijua nchi au unasema tu belgeum ndio ubelgiji kwanza. makocha wapo wachezaji wapo wanacheza huko mnakopeda timu zenu UK mana wengi ndio mebobea. kikubwa huyo kocha atatolewa mbio na kikoti chake kwakuwa viongozi wetu wote wabovu katika timu zetu. wapenzi ndio usiseme watupuuu.
ReplyDeleteNamsikitikia kocha huyu maana watanzania ni vigeugeu sana utashangaa hawampi hata nafasi siku mbili tu watamgeuka.Leo kapokelewa kishujaa subiri muone ataondokaje!! Yanga na Simba wote akili moja hasa hao wazee wenu maowaendekeza wanawaulia timu zenu maana kama mkiwabana na wakakosa hela ya kahawa kukaa vibarazani na kupiga majungu basi kiongozi utakiona cha moto.
ReplyDeleteTatizo si kocho tulokuwanalo tz tatizo hatuna foundation ya football na maanisha matayarisho ya utotoni Mtu kaokotwa mtaani anachezea timu za mikoani,kesho yanga than national team hawezi hata kutowa pass ya uhakika ni kubahatisha tu inakua vichekesho tukileta kocha aanze kufundisha hata kumlenga Mtu kwa kupiga cross.tunataka makocha wazuri katika academy than tutakua na wachezaji wazuri baadae na si makocha wa Belgium au brazil tunajidanganya tu.
ReplyDeleteUKOLONI MAMBOLEO
ReplyDeleteHuyo kocha kama atashindwa kumfunga Simba watapokutana,,ajiandae kufungasha virago.Si uliwasikia mashabika wao wakiimba simba ,simba wakti wanampokea kocha.Hawana jipya kumleta kocha, ni kumfunga Simba.Ndio soka letu la Bongo.
ReplyDeleteEti kisa ni NZUNGU, basi mpila anajua, NOT!
ReplyDelete