Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Mh.Joseph Sinde Warioba akifunga Kongamano la Katiba lililoratibiwa na TAHLISO katika ukumbi wa Karemjee jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa kongamano la Katiba,Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mh. Joseph Sinde Warioba.
Naibu Katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba,Nd.Casmir Kyuki akisisitiza umuhimu wa vijana wasomi katika mchakato huu wa Katiba.
Nd. Hassan A. Haji kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu ZNZ (TUME) akijibu baadhi ya hoja zilizoletwa na wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu.
Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa umakini hoja mbali mbali kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.Picha na Mdau Adam Mzee.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...