Jumuiya ya watanzania wa Boston wanaomba radhi kwa kubadili taratibu za mazishi ya ndugu yetu Patrin Kibelloh kutokana na uchunguzi wa kidaktari unaoendelea.
Taarifa ya maziko tutawaajuulisheni tutakapoupata mwili wa marehemu basi Kukiwa na mabadiliko yoyote tutafahamishana inshaallah! Tuwiyane radhi na tunaomba uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwetu sote. Kwa mkono wapole tumia:
Bank of America
Halima Omary Yussuf
Routing #011000138
account# 004638984578.
Samahani kwa usumbufu wowote ule utakao tokea
-UONGOZI
Bila samahani. Inaeleweka sister.
ReplyDeleteIt is normal for the Coroner to hold a body to determine a cause of death. A death certificate cannot be written until then.
ReplyDeleteRest in eternal peace dear Patrin. This is very sad news.