Globu ya Jamii inakutambulisha libeneke la kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo ambaye daima atakumbukwa kwamba ndiye kocha aliyeibua msisimko katika mchezo wa soka uliokuwa umefifia kabla ya kuja kwake Tanzania na kufanya kazi kwa miaka minne. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2012

    Contract aliyopata TZ ilikuwa ni kubwa. Kiwango chake ni kidogo so sidhani kama atapata another contract that big.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    Nilijua mtamkumbuka na fitna za kibongo ndo kama hizo hapo juu, nilidhani alikuwa mziray peke yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...