Home
Unlabelled
LINI UTAACHA KUVUTA SIGARA, BY SUJIT BHOJAK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Awesome,absolutely awesome.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi
Sujit, what about you, have you quitted, if you have then I will visit your office and see.
ReplyDeleteYour Mom from UDSM
Kwakwelisigara haifai kwa wavutaji na walio karibu na wavutaji. Kwa sasa bongo naona ndo vijana wakuja kwa kasi ya moto wa kifuu, fasheni zitawaua bure.
ReplyDeleteNakumbuka zamani kulikuwa na aina kama tatu au nne hivi nilizozijua: sm, sport, embasy na nyota nilizijuilia dukani kwa baba.
Saizi kuna mitungi na kinachovutwa mle ndo sikijui, na matangazo kibao yakuhamasisha uvutaji sigara ndo yapo juu wakati wanaowaiga watu wa western ndo wapo kwenye mikakati yakuacha.
Haya twende na wakati na wakati utaenda na sisi.
Nashangaa serikali haitaki kupiga marufuku kuvuta sigara hadharani ili kuokoa maisha ya wengine!
ReplyDelete