Home
Unlabelled
mabomu yarindima darajani, zanzibar, wakati FFU wakipambana na watu waliotaka kufanya mkutano wa hadhara na kuandamana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MUANDISHI UNADANGANYA JAMII WATU HAWAJATAKA KUANDAMANA ILA WATU WALIKUWA WANAWAOMBEA DUA WALIOKUFA KWENYE AJALI YA MELI....MBONA MUNAKUWA WANAFIKI MUNATOKA KATIKA MAADILI YA UANDISHI?
ReplyDeleteuache upendeleo-si kutakakuandamana bali watu wapokatika ibada yao ya ijumaa na kuombea ndugu zao waliofariki ila makafiri ndio kazi yao kila siku
ReplyDeleteHata kama wangeandamana shida iko wapi? Jambo la msingi ni watoe taarifa ili wapewe ulinzi. Kwanini muwanyime watu haki yao. Zanzibar ni yao, na kama hawataki muungano kuna haja gani ya kuulazimishia? Mtawapiga mabomu mpaka lini? Serikali zote 2 kaeni chini mtafakari hili jambo upya muangalie ni jinsi gani mnaweza kuuvunja muungano kwa amani kabisa na tukaendelea kushirikiana kwa mtindo mwingine.
ReplyDeleteKwanini Hawa Askari wanawapiga watu bila kufanya uchunguzi sawsawa, hiyo sijaipenda, kama watu walikuwa wanaomba Dua njema kwa ajili ya wafu wao hiyo siyo mbaya.Naomba haya yasirudie tena.
ReplyDeletehata wakitaka kuandamana ni haki yao pia.ulaya watu wanaandamana mda wowote hata mtu mmoja anaandamana.jamani tuwaachie huru wazanzibari.mie ni wa bara lakini tumezidi kuwaonea wazanzibari(serikali)
ReplyDeleteNa nyie hapo juu ,jamani tafadhari,kuweni makini na maelezo yenu pia, haiwezekani katika jamii ya busara na maadili ya dini zote,tukubali maoni yenu. Hapa wengi wetu hatuko huko Zanzibar,ila wanahabari ndiyo wanaotukutanisha -kwanza tuwape hongera kwa kazi zao nzuri na ngumu. Maoni yangu ni haya, haiwezekani kikosi cha FFU kuja na kuanza kupiga mabomu ya machozi kwa watu wanaofanya ibada yao ya ijumaa,kama mnavyosema nyie hapo juu FFU siyo wenda wazimu au makafiri kwa usemi wenu, na Hao FFU wana viongozi wao wenye busara tu mwingi.Ili haya mabomu yapigwe,lazima kulikuwa na jambo. Acheni kabisa tabia hii mbaya ya uchochezi,hata hamna subira ?? Taifa liko kwenye kilio,lakini nyie mko kwenye kujitenga tu basi. Mungu tusaidie.
ReplyDeletenakumbuka ilipotokea ajali ya kwanza ya meli pale zanzibar mipango ya dua ilipangwa na hakukua na vikundi kama hivi binafsi watu walikutana wote sehemu moja na wakawaombea dua marehemu tena kwa dini zote sasa leo iweje nyinyi muamsho mukutane barabarani tu kimipango hakuna hiyo issue serekali iko macho na nyinyi mukileta wazimu ni kipigo halafu ndanitena musijaribu kucheza na serikali kabisa mutaishia kukosa vyote,,,,hiyo ni salamu tu kwa hao wachafuzi wa amani nchini poleni sana
ReplyDeleteIssamichuzi jambo usilolijuwa usiandike kwenye webseit yako . watu walikuwa kwenye ibada kuwaombeaduwa walofariki .tumepoteza rarawehe tuogopa hata kutoka nje .wewe unasikia n'a unandika ujinga ramashani yote hii unasema uwongo n'a wewe muislam
ReplyDeletekwani mnaosema muandishi ni mpotoshani inamaana hawa ffu ni machizi mpaka watumie nguvu ustaarabu hawana kikundi hicho cha uamsho. wanaombea wapi wakati juzi ajali ilipotokea tu walishukuru kwa kuwa machogo walio kuwemo ndani ya meli ni wengi wanaomba salau au wanaomba laana ss hilo limefika laana walilokuwa wakiomba.
ReplyDeleteWote mnaobishana hamueleweki. Hivi kwa nini watanzania tunaunga mkono unyanyasaji wa serikali na jeshi la polisi? Mimi ni mbara tena mkristu, lakini swali langu ni lini kuandamana kutakuwa legal? Hamuoni ni kinyume cha haki za binadamu kuzuia watu kuonyesha hisia zao...ni lini watu tutaweza kuandamana bila VIRUNGU wala MABOMU. Je hii nchi ni ya democrasia au tuko China?????
ReplyDeleteYaani nyie askri Polis hata hamna akili Pambafu yaani watu wanamchonzi tena mwawapiga mnafikiri hapo mngewaacha wangefanyeje jamani.
ReplyDeleteSio kipindi kirefu waliwapoteza wapendwa wao tena wamewapoteza watu wasiwe na machungu jamani Loooooooooooh mngewaacha, hasa nyie makafiri hamna hata huruma kama nyie walinda usalama wa raia vipi hamzuii meli zisizame sio jambo la kheri kila kukicha wazenji wanapigwa mabomu heri waacheni wajitenge inauma sana. Maana watu wamekuwa yatima, wajane kwa ajili tu uzembe watu wasiwe na uchungu mwawapiga mabofu tena msiba Mbichiiiiiiiiiiiii kabisa Loooooooooooooooh kweli Tz ya wanajeshi
"Dhambi ya kutengana ikianza itendelea tu, Zanzibar ikijitenga haita kuwa Zanzibar tena, ni Zanzibar sababu ya muungano, Zanzibar ikijitenga itabaki Unguja na pemba, Unguja na pemba nazo zitajitenga na hili litaendelea...ni sawa na mtu akisha kula nyama ya mtu hawezi acha ataendelea tu..." Maneno ya Mwalimu J.K. Nyerere.
ReplyDeleteSijaelewa Zanzibar inataka ijitenge kwa lipi hasa, ni haki gani wananyimwa?..wachache wanataka vuruga amani ya nchi.
kama walikuwa na nia ya kuomba hiyo kuchoma matairi imetoka wapi? hapa kila mmoja anatetea imani yake kwa anavyojua, lakini kwa upeo wangu naona askari imebidi watumie cha moto baada ya kuona hali tete mbona hata kwenye TV imeonyeshwa walivyokuwa wanachoma tairi??? sasa kuomba na moto wapi na wapi??? tuwe maakini wakati wa kuandika haya ili badala ya kuwa wamoja tukawa wapotoshaji. DK
ReplyDeleteHoja yangu ni kwamba Sisi Wazanzibar hatuutaki muungano. Napenda niungane na mdau mmoja hapo juu kuwa hata muwapige mabomu mnajisumbua bure kwani wananchi wakiamua jambo hakuna atakayepinga. Tuliweza kumng'oa mwarabu tutashindwa kuvunja muungano? Tena kuandamana ni haki ya wananchi wote iwe bara au zanznibar, msiwapige. Tuacheni tuoneshe kile tunachoamini ndio kizuri kwa maendeleo ya Zanzibar. Uamsho ni kikundi cha dini ya kiislam na kinatetea maslahi ya nchi na dini yetu tukufu. Hivyo hakiwezi kuwa na mapungufu kwani kinaongozwa na Allah Subhana.
ReplyDeleteNyie mnaotetea ffu nauliza hivi.hayo mabomu yalipigwa njiani au msikitini? Je na kule darajani walfikaje polisi? Msipangie watu linni kuomba dua kama nyinyi dua zenu ni jumapili tu.sisi dua zetu kila wakati uchahe mara5 kwa siku.hata wakiandamana au waktaka kuandamanw kama inavodaiwa kuna kosa gani? Makafiri nyie Mngu atawalipa hapa hapa
ReplyDeleteJamani mie ni mtanzania na niko spein waspeni wanashangaa sana kwanini zanzibar Anatewsa Kama hivyo . jamani serekali ya tanzania mnatutia aibu kubwa sana ulimwenguni wapatieni haki Yao wazanzibar tanzania linajina kubwa sana ulimwenguni lakini mnavyowatesa wazanzibar mnajiharibibia uzuri wenu jakaya kikwete usijiharibie sida yako wewe ni raisi unaojuulikana kwa uzuriwako waachini wazanzibar nchi Yao kwa usalama wewe ndo kiongozi Kama muislamm ama mkiristo n'a wewe umeubwa Kama walivyo ubwa waojakata kikwete tafadhali
ReplyDeleteSerikali yetu na jeshi la polisi ndivyo vinasababisha machafuko hapa nchini.Madhehebu yakiandamana au kuomba dua ,vibali havitolewi ingawa ni kwa amani,vyma vya siasa vikiandamana wananyimwa vibali na tunajiita tuna demokrasia ,wapi?Serikali makini na yenye uhakika haifanyi mambo haya ,hii ina maanisha polisi na serikali yao ni waoga sana na hii itasababisha kuwe na machafuko hapa kama sudan au bagdadi ,pia meona wamisri na north africa kiujumla.Watu watakuja kuchoka na vitisho na maisha haya na ipo siku watu watakuwa tayari kwa lolote,haswa huko sansibar ,kwani wana asili ya kiarabu na roho zao ni hivyo hivyo kama waarabu.Serkali na polisi kuweni makini na maandamano ya amani yaruhusiwe ,hii italinda amani ya nchi hii ambayo imeanza kutoweka.Big up ,mdau big Joe
ReplyDeleteMFUMO KRISTO BWANA! Watu wametoka msikitini mnawapiga mabomu mnasema wanaandamana!
ReplyDeleteFrancis JR
POLISI WA TANZANIA NI MACHIZI...NILIPOKUWA NINA MIAKA 15 MIE NA RAFIKI YANGU TULIPITA SEHEMU HALALI KABISA KUPITA, POLISI WALIKUWA WAMEVAA NGUO ZA KIRAIA TULIOGOPA KWA VILE WALIVYOTWITA TUKAKIMBIA TULIVYOFIKA MBELE KUMBE WALIKUWA WASHATUZUNGUKIA, WALIPOTUKAMATA JAPO KUWA UMRI WETU ULIKUWA MDOGO SANA ILA KIPIGO TULICHOPATA HAPO TANGU NIMEZALIWA MPAKA HIVI SASA HIVI SIJAWAHI KUPATA NA M.MUNGU ANNUSURU...HAWA JAMAA HAWAJUI HATA KAZI YAO NA MAADILI YAO YA KAZI....NA WANAFANYA ZAIDI YA HAYO POLISI WA KWETU WANAWEKA SIASA MBELE KULIKO CHOCHOTE
ReplyDeleteHERI NGAMIA KUPENYA KATIKA TUNDU LA SINDANO KULIKO POLISI KUINGIA KATIKA UFALME WA MBINGUNI!
ReplyDeletePolenisana wazanzibar nakioneleeni imani . m.mungu akujaalieni mufanikiwe mnacho kitaka. ammeen. tanzania aibuu sanaulimwenguni mnavyowatesa zanzibar news tunazipata kwenye televishenza ulaya
ReplyDeleteKina Ras Makunja jamani! sasa hapa si mngelitumia busara tu..badala ya kupiga na kuchezesha muziki?
ReplyDeleteMbona Daressalaam hakuna kikosi cha FFU kina tumiwa wakati wa mandamano? Wazanzibar wegeno hawa taki na wana ona hakuna faida wa Muungano. Serikali inaonesha haina solution mpaka imefika hatua ya kutumia kikosi cha FFU. Muungano hauna maana tena!
ReplyDelete