Bodaboda ikiwa bize mkoani Manyara. Iga ufe...
Picha na Ahmed Mahmoud wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2012

    SASA HUYU DEREVA KAVAA HELMET LA CHUMA WANAWAKE WAMEVAA HELMET ZA PAMBA NA MTOTO WAMEMUACHIA HELMET ALIYOPEWA NA MUNGU HUU SI UHAINI JAMANI?
    MUNGU TUSAIDIE KWANZA HALAFU NDIO UTUBARIKI.
    MDAU.
    ALASKA,USA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2012

    We jamaa aw Alaska is ulitikea bongo pia? Wapelekee usafiri!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2012

    watu wanatumia boda boda kwa sababu ya shida ya usafiri na gharama nafuu siyo kwamba wanapenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...