JIANDIKISHE KWA AJILI YA PROGRAM YA AINA YAKE YA KUJENGA UWEZO INAYOJULIKANA KAMA ”FOUNDATION CERTIFICATE COURSE IN BUSINESS STUDIES” WALENGWA NI MTU YEYOTE ALIYEHITIMU KUANZIA DARASA LA SABA NA HAJAFANIKIWA AU AMEFANIKIWA SANA KIBIASHARA NA WALE WOTE WALIOSHINDWA KUFANYA VIZURI KATIKA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE. LENGO NI KUWAKWAMUA WALIOKWAMA NA WAWEZE KUSHIRIKI KATIKA KAZI NA MAENDELEO YAO NA NCHI YETU.
MPANGO HUU UTAFUNDISHA MASOMO YAFUATAYO: ENGLISH LANGUAGE, IT/COMPUTER APPLICATIONS, ACCOUNTANCY, BASIC BUSINESS MATHEMATICS, SOCIAL SCIENCES, ENTERPRENEURSHIP, MARKETING AND CREDIT MANAGEMENT. KWA WALE WATAKAOTAKA KUANZISHA MIRADI YAO WATASAIDIWA NA WATAALAMU WETU NA PIA KUUNGANISHWA NA TAASISI ZA FEDHA WASHIRIKA KWA AJILI YA MIKOPO- ADA KWA MASOMO YOTE PAMOJA NI SH.60,000/= KWA MWEZI. MASOMO YATAKUWEPO KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 3 USIKU. TUNAKARIBISHA WAHISANI KWA PROGRAM HII AU KWA WANAFUNZI WASIOJIWEZA NA WENYE NIA YA MASOMO ILI TUJENGE NGUVU KAZI YA TAIFA.
KOZI NI YA MWAKA MMOJA -MWISHO WA KUJIANDIKISHA NI 20 JULY 2012. WALIMU WETU NI WAHITIMU WA VYUO VIKUU NA WANAUZOEFU WA KUTOSHA. KWA WALIO MIKOANI TUTAANZISHA VITUO VYA MAFUNZO KWA PROGRAM HII.
TUPO JENGO LA SAMS KITUO CHA BASI
CHA MAKONDE –MBEZI BEACH.
SIMU 0713 476012/0757 396983.
Email.cnbahali@yahoo.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...