NAMTAFUTA MZEE WANGU ANAITWA VICENT SASAGU KULIGI ALIKUWA NI MFANYAKAZI WA MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA MIAKA YA 76 NA KUENDELEA KAZI YAKE ILIKUWA NI REGISTRY KWA MUJIBU WA CHETI CHA KUZALIWA MARA YA MWISHO NIMESIKIA YUKO SUMBAWANGA KWENYE MAGARI YA PHANTOM MSAADA KWA ANAYEMFAHAMU MIMI NAITWA MWASSY NAMBA YANGU 0717500888 EMAIL YANGU
mwassyayoub@yahoo.com
pole sana mdau,weka basi picha ya huyu mtu kurahisi kazi.
ReplyDelete