Kikosi cha Yanga
Kikosi cha APR ya Rwanda

Mashabiki wa timu ta Yanga wakiishangilia timu yao baada ya kupata ushindi dhidi ya timu ya APR ya Rwanda katika mchezo uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar ikiwa ni muendelezo wa Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao la kuongoza lililofungwa na Said Bahanuz dakika ya 28 ya mchezo kipindi cha kwanza,huku mwamuzi wa mchezo huo akiwataka kurudi uwanjani.
Nizar Khalfan wa Yanga akiwachambua mabeki wa APR.
Yanga mwendo mdundo .Nadhani kombe watalitwaa tena mara ya pili mfululizo.Mwendo huo huo yanga ,daima mbele ,nyuma mwiko.
ReplyDeleteHivi huyu Bahanuzi amesajiliwa kutokea timu gani? Machachari sana huyu, anatutia hofu sana sisi wengine.
ReplyDeleteAnakutia hofu wewe na nani?
Deletena bado...hzo rasharasha tu! mmezidi sana kelele nyie wenzetu!!!
ReplyDeleteYanga pawe dozi haooooooooooooooooooooo.
ReplyDeleteYaani raha kweli kweli kweli
Ingawa apr walicheza mpira mzuri lakini yanga nafasi walizopata walizitumia vizuri .mabeki walitulia sana viungo makini washambuliaji ndio usiseme hongera yanga kazeni buti mtupe raha
ReplyDelete