Kocha wa timu ya Kivule Veterani, ambaye ni mchezaji wa zamani wa Simba Kureshi Ufunguo akipokea jezi kutoka kwa Ali Mwaiposa ambaye alitoa msaada kwa timu hiyo kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Eugen Mwaiposa.
 Wachezaji wa timu ya Kivule Veterani, wakishangilia baada ya kupatiwa msaada wa jezi mpya na Ali Mwaiposa ambaye alikabidhi kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa katika hafla iliyofanyika baada ya mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Kitunda Veterani kumalizika, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Al MusomaJuly 10, 2012

    Mzee mwenzangu ungemwita academic hapo akupe tafu. Hongera sana kwa ufadhili - wape moyo vijana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...