Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza wakishakana mikono wakati wa hafla iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Afrika, Kennedy Bungane  (kushoto) akipiga picha na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula Mfugale (katikati) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Godfrey Ndalahwa  baada ya kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa benki hiyo na baadhi ya wateja wa makampuni wa NBC jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafurum (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Renem Meza (wa pili kushoto) katika  hafla iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam.  Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Afrika, Kennedy Bungane na Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa makampuni wa NBC, Minnie Adolf Kibuta. Bwana Bungani awali alifanya mazungumzo na wafanyakazi wa NBC nchini ili kufahamiana nao.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Afrika, Kennedy Bungani (kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza katika  hafla iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru. Bwana Bungane  awali alifanya mazungumzo na wafanyakazi wa NBC nchini ili kufahamiana nao.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barclays Afrika, Kennedy Bungane  (wa tatu kushoto) akipiga picha na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC Tanzania baada ya kufanya nao mazungumzo na baadhi ya wateja wa makampuni wa NBC jijini Dar es Salaam.
Mshauri wa Mahusiano wa NBC, Eddie Mhina (kulia), Meneja Chapa na Matangazo, Aden Kitomari (kushoto), pamoja na mfanyakazi mwingine wa benki hiyo wakiwa katika hafla waliyoandaa kwa wateja wao wa makampuni
jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2012

    Ankal Michuzi,

    Please make a correction its Kennedy BUNGANE not Bungani

    :-)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2012

    HUYU MVULANA HAPA MBELE KWENYE PICHA YA CHINI NI YULE ALIEKUA KWENYE KIPINDI CHA WATOTO CHA ITV JINA LAKE NI EDDIE SULTAN NDIO ALIKUA AKIITWA HIVYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...