Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.
Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2012

    OOH! Asante sana kwa kupokea wazo langu la kutoka picha zao. Ni vipi tena picha zaonyeshwa huko badala ya kuweka kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo blogs?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...