Home
Unlabelled
nyumba inauzwa A-Town
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nyumba nimeipenda ina paa nzuri!!
ReplyDeleteNyumba hii itakuwa ina mgogoro! Unataka kutuuzia kesi. Hakuna Nyumba ya Bei hiyo labda choo cha Nje!
ReplyDeleteTatizo sioni barabara kama kawaida nyumba za Archuga!
ReplyDeleteSasa wewe kwa Mrombo ni wapi? Ukipewa $ 20,000 Cash utachukua? Hakuna maswali wala nini....!! Hebu toa ramani vizuri. Toa na maelezo kwa Mrombo ni wapi? Ni umbali gani toka barabara ya Nairobi au Njiro au Sanawari au Majengo? Usitoe maelezo nusu nusu hutauza.
ReplyDeleteNyumba hii haina kesi wala tatizo lolote, nahitaji pesa haraka kufanya mambo mengine. Mimi ninayeuza ni mwanasheria, nafikiri kabla ya kuongea fanya research kwanza, kaulize majirani, mimi ni mfanyakazi na nina mwajiri pamoja na biashara zangu hivo nina physical adress. Kuhusu bei nimeangalia gharama nilizotumia na mahitaji ya haraka ya pesa hii. Kama ningeuza kwa tamaa nyumba hii nilipaswa kuuza millioni kama 70 hivi, maana wabongo ukiwalalia ndo wanona dili ni halali.
ReplyDeleteJamani nyumba ni nzuri lakini bei ni ndogo kiasi kwamba inanitia wasi wasi. Imemalizika hii mtu anaweza kuishi bila wasi wasi.
ReplyDeleteGusa unase!
ReplyDeleteIle puu umetoa 45 Milioni unashuhudia kundi la Wamasai na mapanga mikononi wanakwambia kesi bado ipo Mahakamani!
Aliyekuuzia ni nani na yupo wapi?
Kwa Mrombo si mbali sana maana ukifika Conder ya Mbauda unafuata njia ya Mbauda ielekeayo Oljoro JKT unapita Field Force unafika Kwa Mrombo kuna nyama choma ya kufa mtu kila aina ipo hapo sinia Shs. 5,000/= unakula hadi meno yanauma.Kwa ujumla jamaa ameijenga nyumba vizuri ya kisasa.
ReplyDeleteSawa Mdau Mjengo umetulia sana!
ReplyDeleteLakini hakuna mgogoro hapo?
Hiyo ni Kanda ya Kaskazini, usije mtu ukanunua ile unatoa Mil. 45 siku ya pili kundi la Wamasai na Sime mkononi na Mapanga wanakuuliza ni nani kakuuzia nyumba yetu?, yupo wapi?