Theme;
“Islam & Poverty Alleviation Strategies”.
Date; 15th July 2012
Venue; Karimjee Hall - Dar es Salaam
Time; 9am – 4:30pm
Contribution; Tsh. 20,000 (Inclusive of FREE DVD, Books & Lunch)
-For Invitation Cards Delivery-
Email;- esmiletz@gmail.com
"Plan Not to Miss"
INSHALLAH
Alhamdulillah, walau sasa waislam tunaanza kujiangalia Mambo Allah aliyotufundisha kupambana na Mazingira yetu. Inshaallah Tutafika.
ReplyDeleteSafi Sana. Naona sasa waislamu tunaanza kutumia wasomi wetu kujadili mambo yetu. Nimependa mchanganyiko wa Prof na Masheikh. Huyu jamaa ni kichwa ila wengi wetu tunashindwa kumtumia...!
ReplyDeleteMashallah,
ReplyDeleteKazi nyingine kubwa ni kurefresh Banking systems nchini ziwe in or near 'zero' interest rate.
1.Tunaposema 'zero' or near zero interest rate Banking sio kwamba NI KANUNI KUWA BANK HAIWEZI KUENDESHA KWA FAIDA BILA INTEREST LA HASHA.
2.Tunaposema 'zero' or near zero interest rate Banking sio kwamba TUMEWASILIMISHA WASIO WAISLAMU KUINGIA KTK UISLAMU LA HASHA.
HII HATA MASHIRIKISHO YA KIDUNIA KAMA UN, IMF NA WORLD BANK YANAELEWA FIKA KUWA 'RIBA' (INTEREST) INACHOCHEA KIWANGO CHA KUKUA KWA UMASIKINI DUNIANI.
Nataka tufanye Experiment kidogo:
Kwa wale waelewa wa masuala ya Uchumi ni kama ''the price of commodity is determined by demand and supply at the market''
Je, ni nani na ni kigezo gani kinatumika kuweka say interest (riba) iwe 10% or certain % ?
Je mazingira yanayopatikana ile tu rate of interest (%) si inaonekana kama ka wizi fulani hivi?
Ni wakati muafaka wa kujadili hili!
Mashallah,

Nashkuru kwa hili kwa kuwa mimi ni muslam LAKINI, kiswahili tafadhal!
ReplyDeletesesophy