Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko Dangote (kulia) ambaye anakusudia kujenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2012.Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dr. Ishaya Manjabu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
..Good News!! Long Live JK, Long Live Alhajj Aliko Dangote... Long Live Mtwara, future Tz's richest city..
ReplyDeletewaweke na viwanda vingine kama vya kutengeneza maji ya nazi au kusindika baadhi ya vitu ningefurahi lakini saruji viwanda tunavyo tayari.
ReplyDeletewaaaw that guy is damn loaded, very very rich...watanzania tuamke kuna chance nyingi sana wanaigeria na wakenya watakuja kuchukua na kuondoka.
ReplyDeleteTatizo la Tanzania ni kwamba kila biashara ni lazima ufanye na serikali na sio watu binafsi. Biashara ikiingiwa na serikali inapunguza kasi ya maendeleo. Tuchukue mfano wa USA
ReplyDeletetuchukuwe mfano wa china siyo usa bwana wezi watupu tu usa na wache wawekeze mwanzo mpaka mwisho na sisi tuwe mafukari katika nchi yetu wenyewe mafisadi oyee wa wawekezaji
ReplyDelete