UMOJA WA WATANZANIA  UJERUMANI (UTU) UNATOA MKONO WA POLE NA RAMBI RAMBI KWA NDUGU NA JAMAA WALIOPATWA NA MAAFA KUTOKANA NA AJALI YA MELI MV SKAGIT ILIYOTOKEA ENEO LA CHUMBE ZANZIBAR SIKU YA TAREHE 18.07.2012.

UMOJA WA WATANZANIA NCHINI UJERUMANI UMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA TAARIFA ZA AJALI MBAYA AMBAYO IMESABABISHA VIFO.

UMOJA WA WATANZANIA UNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE NCHINI KATIKA KIPINDI HICHI CHA MAOMBOLEZO.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU UBALIKI UMOJA WA KITAIFA

MFUNDO PETER MFUNDO
MWENYEKITI WA
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU)
Email: kamati.utu@googlemail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...