Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akisoma Hotuba yake wakati ufunguzi wa Mafuzo Unganishi na Kozi ya Awali yaliyofanyika katika Chuo cha Ufundi,Jijini Arusha.
Mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bw. David Kazuva (Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi), akiwahutubia baadhi ya wanafunzi waliohitimu Kozi ya Pre-Entry Course na Bridging Course katika Chuo hicho.
Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mgeni rasmi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2012

    Mbona wahitimu hawa hawajavaa vazi la kisomi(Academic dress)kwanini? mmesababisha wawe wanyonge, siyo vizuri, vazi lile linavaliwa sikuhizi hana na watoto wa chekechea kwanini hawa wakubwa kabisa wenye kustahili vazi lile mumewanyima, vibaya hivyo.mngeenda kuazima kwenye chuo kikuu cha Usa kile, wangewapa tu angalau kwa siku moja.
    Ok! don't worry next time.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...