Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali linalosaidia mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola (European Parliaments with Africa-AWEPA),Dkt Jeff Balch (wa pili kulia),Meneja wa Mradi B Kristen Heim wakijadili jambo na Mwenyekiti wa Bishara, Maendeleo na Uhusiano wa SADC-PF Mhe. Habib Mnyaa wakati wa mkutano wa 31 wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika –SADC-PF mjini Maputo Msubiji, leo. Mwingine ni Bw. Paul Msoma, Afisa katika Kamati ya Bisahara, Maendeleo na Uhisana wa SADC-PF. Awepa itakuja Tanzania mwezi Septemba mwaka huu kuona jinsi ya kuzisaidi kamati za Bunge kujijengea uwezo.
Home
Unlabelled
Shirika lisilo la kiserikali linalosaidia mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola laahidi kuja Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...