FAMILIA YA MAREHEMU JOHN S. MHANDO NA FAMILIA YA DR MIRIAM B. K. CHECHE
INATOA SHUKRANI DHATI KWA UONGOZI NA WAFANYAKAZI WA SINOTASHIP,
OFISI YA MGANGA MKUU NA WAFANAYAKAZI WOTE WA IDARA YA AFYA YA MANISPAA YA KINONDONI, WANAFUNZI WA CHUO CHA IMTU NDUGU ,JAMAA MARAFIKI NA MAJIRANI ZETU KWA USHIRIKIANOWENU MLIOTUONYESHA KATIKA SHUGHULI ZOTE ZA MSIBA WA MAREHEMU JONH S MHANDO, TOKA ALIVYOFARIKI GHAFLA 18 JUNE2012 HUKO MWANZA NA KUSAFIRISHWA DAR AMBAKO
MAZISHI YALIFANYIKA 21 JUNE 2012.
MUNGU AWABARIKI KWA KUTUFARIJI NA KUJITOA KWA HALI NA MALI.
AROBAINI ITAFANYIKA TAREHE 28 JULLY 2012 KIMARA KING'ONGO NYOTE MNAKARIBISHWA
BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
IMETOLEWA NA FAMILIA YA JOHN S. MHANDO
NA DR. MIRIAM B. K. CHECHE.
AKSANTENI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...