Home
Unlabelled
siku yanga ilipopigwa bao 5-0 na simba - angalia dakika 90 zote...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
brothe michuzi wewe ni mtaalam wa camera.je huwapi ushauri? yani huko nyumbani bado saana kwenye mambo ya kushuting yan hapo camera iko upande mmoja tu.tunaona aibu kuwaonyesha hawa wenyeji wetu huku nnje tulipo pls jaribu kuwaelekeza wapo watalaam kina lewis nambole nawafahamu tokea niko huko nyumbani.hatata kama shoting ni mbaya basi kuweni na camera nyingi.kidogo itakua afadhali.dan jews ubatan
ReplyDeleteHivi n lin tunakuwa na mfumo mzuri wa utangazaji wa mpira maana hapa ni kelele tu za mashabiki na mavuvuzera na mbwembwe nyingiiii, enewei hii ndo Tz bwana..!!
ReplyDeleteumetumwa kuweka hiyo picha? yakale hayuniki weka mechi ya juzi simba na vita!
ReplyDeletehali ya simba ni mbaya zaidi sasa hivi, wameweka hii kujifariji, Azam wanakuja hao wapisheni ooo!! oohh!!!
ReplyDeleteIngependeza ungeweka mechi ya fainali ya Kagame iliyopita.
ReplyDeleteaha ha haaaa....kale ka wimbo kanasemaje vile....sijui nani ameolewa...aha haha
ReplyDeleteWanaitwa Young5!
ReplyDelete