Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta za Hifadhi ya jamii (SSRA) Bi, Irene Isaka akitoa mada kwa wanachama na wadau wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma PSPF wakati wa mkutano wa kwanza uliofanyika hivi karibuni katika hotel ya Blue Pearl jijini Dar.
Wadau na Wachama wa PSPF wakiuliza maswali ili kujua usalama wa mafao yao na Mamlaka imefikia wapi katika hatua zake za kutetea na kulinda maslai ya wanachama.
Wadau wakimsikiliza mkurugenzi mkuu wa SSRA akiwasilisha mada
wajumbe wa bodi ya PSPF na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bwn. Adam Mayingu wakisikiliza mada toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA (hayupo pichani).
Mkurugenzi ha PSPF hayupo pichani wakati ni huyu Bw Adam Mahingu ? Rekebisha hiyo
ReplyDelete