Hili ndilo jukwaa la Tamasha la Wajanja wa Vodacom likiwa linaandaliwa katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,wakazi wa Tanga njoeni kwenye tamasha hili litakaloanza leo saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni.Fid Q,Diamond,Shetta,Mabeste,Nay Wamitego,Ommy Dimpozi,Wasanii wote hawa watapanda jukwani leo hii,Tamasha hili lina lengo la kuwahamasisha vijana kujiunga na kupata huduma kutoka mtandao wa Vodacom Tanzania,ambapo unaweza kunufaika kwa kuongea kwa robo shilingi,kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote hapa nchini na kuperuzi facebook na twitter bure,Pia huduma ya intanet hasa vijana ikiwemo ofa ya wajanja intanet inayompa mteja huduma ya intaneti kwa shilingi 250 kwa siku.
Hii ni Barabara ya Nane jijini Tanga ambayo unaweza kupitia moja kwa moja mpaka katika uwanja wa mkwakwani ukaja kujionea Tamasha kubwa lenye hadhi yake ya Kimataifa la Wajanja wa Vodacom, litakaloanza saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni.Fid Q,Diamond,Shetta,Mabeste,Nay Wamitego,Ommy Dimpozi,Wasanii wote hawa watapanda jukwani leo hii,Tamasha hili lina lengo la kuwahamasisha vijana kujiunga na kupata huduma kutoka mtandao wa Vodacom Tanzania,ambapo unaweza kunufaika kwa kuongea kwa robo shilingi,kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote hapa nchini na kuperuzi facebook na twitter bure,Pia huduma ya intanet hasa vijana ikiwemo ofa ya wajanja intanet inayompa mteja huduma ya intaneti kwa shilingi 250 kwa siku.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom wakijipanga namna ya kuweka mambo sawa kwenye tamasha la Wajanja wa Vodacom leo jijini Tanga katika uwanja wa Mkwakwani,Tamasha hilo litaanza saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni.Fid Q,Diamond,Shetta,Mabeste,Nay Wamitego,Ommy Dimpozi,Wasanii wote hawa watapanda jukwani leo hii,Tamasha hili lina lengo la kuwahamasisha vijana kujiunga na kupata huduma kutoka mtandao wa Vodacom Tanzania,ambapo unaweza kunufaika kwa kuongea kwa robo shilingi,kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote hapa nchini na kuperuzi facebook na twitter bure,Pia huduma ya intanet hasa vijana ikiwemo ofa ya wajanja intanet inayompa mteja huduma ya intaneti kwa shilingi 250 kwa siku.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...