Afisa Sheria wa Tume Mercy Mrutu akimuonesha Ripoti Katibu Tawala Msaidizi wa mkoa wa Kigoma.
Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mercy Mrutu akimkabidhi Katibu Tawala Tawala Msaidizi wa mkoa wa Kigoma Bw. Antony Jakanyango Ripoti mbalimbali zilizofanyiwa kazi na Tume. Kulia ni Afisa Sheria wa Tume Angela Shekifu.Maafisa wa Tume kwa sasa wako mkoani Kigoma kwa ajili ya kutoa Elimu ya Sheria kwa Umma mkoani humo katika Wilaya ya Kigoma ikiwa ni moja ya majukumu ya Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika kazi zake. Picha na Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...