Tusker ya Kenya na Ports ya Djibouti zinawasili leo jioni kukamilisha idadi ya timu kumi na moja zinazoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame yaliyoanza jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  
  
Timu zote kutoka nje ya mazoezi zimeshapangiwa viwanja vya mazoezi ambapo zitavitumia kwa mujibu wa ratiba ambayo imepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Makazi ya timu hizo na viwanja vya mazoezi ni kama ifuatavyo;

Timu:                   Uwanja wa mazoezi:              Accommodation:
APR (Rwanda)       Mabibo Hostel                         - Marriott Hotel (Mabibo External)
AS Vita (Congo)    University of Dar es Salaam     - Chichi Hotel (Kinondoni)
Atletico (Burundi) Mabibo Hostel                         - Lunch Time Hotel (Mabibo Hostel)
Azam (Tanzania)   Azam Complex                        - Azam Complex (Chamazi)
El Salam Wau (S. Sudan) Zanaki Sekondari           - Rungwe Hotel (Kariakoo)
Mafunzo (Z’bar)    Kinesi                                     - Rombo Green View Hotel (Sinza)
Ports (Djibouti)     Kinesi                                     - Rombo Green View Hotel (Sinza)
Simba (Tanzania)  …………………….                         – Vina Hotel (Mabibo Makutano)
Tusker (Kenya)     Zanaki Sekondari                     - Rungwe Hotel (Kariakoo)
URA (Uganda)       Loyola                                     - Valentino Royal Hotel (Kariakoo)
Yanga (Tanzania)  ………………….                            – ……………………….

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...