GEORGE KAVISHE, MENEJA WA KILAJI CHA  KILIMANJARO AMBAO NDIO MDHAMINI MKUU WA YANGA, AKIHUTUBIA KWENYE MKUTANO MKUU WA KLABU HIYO DAKIKA CHACHE KABLA YA UCHAGUZI WA VIONGOZI
LEO KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE HALL JIJINI DAR ES SALAAM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2012

    Uchaguzi na bao 2 za jana kutoka kwa Didier Kavumbagu utakuwa uchaguzi huru na haki..Kila la kheri

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2012

    Hapa hakuna kitu, Yanga mpira ulikuwa zamani miaka ya 70 ila sasa ni majungu na uchawi tu ndio unatawala Jangwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...