Ujumbe wa Kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, Ajira, Nidhamu na maendeleo ya watumishi kutoka Bunge la Tanzania wakiwa katika kikao cha pamoja na wenyeji wao katika Bunge la Thailand.
Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akichangia jambo wakati wa kikao cha Pomoja Kati ya wajumbe wa Kamati Ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge kuhusu Ajira, Nidhamu na Maendeleo ya Watumishi kilichofanyika Katika Bunge la Thailand.
Wajumbe hao wakipata maelezo kutoka kwa mtumishi wa bunge la Thailand. kutoka kushoto Mhe. Freeman Mbowe, Mhe. Godfrey Zambi, Mhe Saleh Pamba, nyuma ni Mhe Balozi Abdulcisco Mtiro, aliyesimama ni Ndg Dismas Assenga afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia.
wakiendelea kupata maelezo.
Ujumbe wa Kamati ndogo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, Ajira, Nidhamu na maendeleo ya watumishi kutoka Bunge la Tanzania ukiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika Bunge la Thailand.
Ukumbi wa Bunge la thailand unavyoonekana.Picha zote na Mdau Emmanuel Mpanda wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    Viongozi wetu hata waende mbinguni hakuna mabadiliko.
    Wao wapo kwa ajili yao wenyewe na familia zao na si kwa kulitumikia Taifa. Taifa lililonyuma kimaendeleo.
    Kila leo wanasafiri kwa kutumia pesa ya wakulima na walipa kodi lakini wanasahau kuwatumikia ipasavyo walipa kodi hao.
    Mungu ibariki Danganyika!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2012

    Duh! Jamaa kasema hata waende mbinguni, lol.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2012

    Sura tu zinaonyesha hata mngepelekwa mwezini kazi ni kufikiria perdiem tu.watanzania hatutegemei mabadiriko kwa kuanzusha u VASCO DA GAMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...