Hiki ndicho chakula kikuu cha Ghana maarufu kama FUFU, ambao ni ugali wa muhogo na mchuzi wa mbuzi, kuku, samaki, ng'ombe na kadhalika. Mchuzi huu huwekwa pilipili (pepee) nyingi sana ili unoge...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Nimeona wengine huku niliko wanakula fufu ya unga wa viazi vitamu(yam flour). Nadhani kila sehemu ya kabila wanayo aina yao ya fufu. Kuna baadhi ya sehemu ghana wanakula ygali pia. NINGEPENDA kuelewa zaidi, kwa kuwa uncle unaenekana uko huko. Mdau nje ya nchi

    ReplyDelete
  2. chakula kizuri sana hiki niliipo kuja marekani mara yakwanza nikawa niko home sick nikapita mitaa ya manhattan na pia D.C wana hoteli zao nikakila nilishtuka siku za mwanzo kwamba ugali unaitwa fufu kwetu bongo fufu najua ndo la mfuu
    nilivyo uona ugari umeletwa ebwana eeh nimeula kichizi nikajisikia niko nyumbani tena toka siku hiyo huwa sipendi sana ugali wa nyumbani naupenda sana ugali wao huu wa fufu

    na kidogo kukurekebisha mkuu

    fufu mara nyingi unga wao ni ya cocoa,unga wa muhongo, na pia wa viazi vikuu ni mtamu kiyama toka niule siachia kuula kila mara ya week end najipoza nao unanyishuka rohoni kichizi najiona niko kwetu karikooo mitaa ya gerezani

    mdau New York

    ReplyDelete
  3. i see high chorestrol, BP, ki-sugar, kiharusi all in one...

    ReplyDelete
  4. tatizo la Ugali huu wa FUFU, unawekwa kwenye dimbwi la mchuzi kama unavyoona kwenye picha ,kisha nyie wote walaji mnakuwa mnaweka mikono yenu humo ,maana hiyo FUFU inakuwa imezama kabisa kwenye mchuzi,unafanya kuivua.sasa vidole vyote vimelowana na vinaingia tena vyote kwenye mdomo na vinarudi tena kwenye bahari ya mchuzi kuvua ugali FUFU, fikiria sasa mko wa 5 kwenye meza . Mimi aisee ,nilishindwa kula, hawa jamaa wanavyokula , unaweza kutapika. Mimi naona walichotushinda hapa, ni kukojoa barabarani, zaidi ya hapo hawana lolote la kutufundisha.Bongo bado tupo juu,halafu wanawake wao sasa sura kama wanaume.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  5. Du zebedayo umefika lini ghana? ahhhhh lakini kwa mara ya kwanza nafikiria unasema labda ukweli. bongo na ghana labda mambo madogo tutashinda lakini mengi wanatupita.vipi football hatuwapati. zebedayo bongo tumezidiwa hata na rwanda walioanza maisha mapya hivi karibuni tu.bongo tuko nyuma sana zebedayo.

    ReplyDelete
  6. Na hiyo FUFU the way wanavyokula kama huna stahamala unaweza kusamehe kula ukashinda na njaa au chote kikarudia kooni kwa kweli, wengine kama wamevaa pete vidoleni, inabidi wazivuwe kwanza ziwe pembeni, mana hayo madole yanavyozamishwa kinywani na kuyaramba waweza ukachefukwa, zidi wawe wanatowezea na OKRA (bamia) au ule mchuzi wao wanaouita 'ASSORTED MEAT' (mbuzi, kondoo, samaki, utumbo a.k.a 'Shakii', makongoro e.t.c. vyote ndani ya chungu kimoja unabakia wewe mwenyewe tu ku-sort what type of meat do you prefer). Sound so interested kufahamu vyakula mbali mbali toka mataifa tofauti, kwani hata sisi pia tuna milo yetu na namna tunavyoila, naamini hata na wao kama watafanikiwa kuifaham, am sure watakuwa nayo mengi tu ya kunena, mithili tunavyowachambuwa wao.

    ReplyDelete
  7. Wadau nipo Accra kikazi nilipata project huku mwaka jana, nafikiri watanzania tupo wachache sana huku, ukihitajika msaada wowote napatikana kwenye namba +233266772685, Albert

    ReplyDelete
  8. FUFU ni ugali wa unga wa NDIZI ndizi zinachemshwa zinamenywa na kuanikwa then wanazitwanga ndo unga unapatikana na si muhogo ,I love it

    ReplyDelete
  9. sasa pilipili zote hizo, hujaharisha ankal?

    ReplyDelete
  10. Zebedayo msema kweli umenijibia maswali lukuki, nilikuwa najiulizwa mbona fufu lenyewe linaogelea tena!

    ReplyDelete
  11. Zebedayo wacha hizo, kwanza hapa Dar toka uingie hujamaliza hata kalenda mbili, sasa huko ughaibuni umekwenda lini?

    ReplyDelete
  12. Kweli Zebedayo umechoka kifikra! Is that all you can say?

    ReplyDelete
  13. kwa kuongezea ni kwamba huo mchuzi wa mbuzi,kuku,samaki,ngombe n.k vyote huwa vinachanganywa kwenye sufuria moja (hapa ndipo niliponichosha mimi) na pepee kibao.

    ReplyDelete
  14. FUFU ni ugali ambao umechanganywa unga wa mahindi na unga wa ngano na mchuzi wa samaki,kuku,nyama,bamia kavu na unga wa samaki pia unatiwa kwenye huo mchuzi na hiyo pili pili usipime kabisa na mchuzi wao hukaa wiki mpaka zaidi ila FUFU ndio kila siku upikwe mdau istanbul tupo nao jamaa hao wa west africa wote.

    ReplyDelete
  15. Nimekaa Ghana kwa muda kidogo.

    Kuna aina mbili za fufu. Moja, (ambayo inaliwa sana nchini Ghana) ni mihogo iliyochemshwa na kupondwa hadi kupatikana kitu kama ugali. Kazi ya kuponda inafanywa sana na wakina mama na watoto. Hata hivyo, katika biashara wanaume ndo wapondaji wakuu (kama ilivyo kwa ugali hapa bongo).

    Kazi ya kuponda mihogo iwe fufu si lelemama na hivyo kukatengenezwa mashine ya kusaidia hiyo kazi. Wanaume wengi wa kighana hawapendi fufu iliyotengenezwa kwa mashine wakisema haina ladha nzuri.

    HIvyo kukawa na aina ya pili ya fufu ambayo ni mihogo mibichi inasagwa na kuanikwa, baadae kupondwa kupatikana unga. Aina hii ya fufu ni nzuri kwa waghana walio nchi za nje.

    NB: Zebedayo - hata kama unapaswa kutetea vya nyumbani, si kwa staili hii.

    Ignorant

    ReplyDelete
  16. UGALI WA KIBONGO NI MORE HEALTH KWA SABABU UNALIWA NA MBOGA ZA MAJANI,KUKU,SAMAKI AU NYAMA YA NGOMBE KWA PILIPILI KAMA UNATAKA.NIKITAMU KULIKO HIYO FUFU MARA KUMI.MDAU LONDON.

    ReplyDelete
  17. Zebedayo umenichekesha mwanzoni, lakini huku mwishoni, umenisikitisha kwani wewe ni mwongo na mgomvi, kwa hiyo ni kama wanaoana wanaume kwa wanaume?

    ReplyDelete
  18. Fufu ya viazi vikuu kweli na mimi nakubali ni kiyama...tamu kweli kweli. Nimekula kwa rafiki yangu wa Nigeria.

    Afu majamaa wanajua kupika mboga zao kiyamaaaaa

    ReplyDelete
  19. Yani kama alivyosema huyo mdau wa hapo juu, hiyo style ya kula fufu hata mimi ilinishinda,kichefuchefu haswa, na huo mchanganyiko wa hiyo sauce yao ndio kabisaaaaaa. Ghana na Tz baba mmoja, kwame nkrumah aliowalea na nyerere ideology ni moja, ingawa wenzetu wameanza kutushinda kwani watanzania sie bado magoigoi, waoga na walalamishi.

    ReplyDelete
  20. Zebedayo, amemaliza yote niliyotaka kusema!! Tatizo hakuna usafi kwenye ulaji hasa ukikuta mko zaidi ya mtu mmoja. Mie niko Liberia kuna restaurant za wa-Ghana hapa utakuta huo msosi. Mara nyingi utakuka watu toka Ghana ama hata wa-Liberia wananunua hiyo dishi wako kama 5 hivi na wote wanazamisha hiyo mikono kuvua hiyo fufu kama mdau alivosema hapo juu!

    ReplyDelete
  21. kweli zebedayo umememaliza kila kila kitu nilichotaka kuandika waghana ni wachafu chakula yao huwezi kula mimi niko nao huku marekani halafu washamba na wengine wana mambo ya utwana wanawake wao wanasura mbaya huwezikutofautisha na wanaume wao kuna mengi kuhusu wao lakinikwa leo ni haya tu kwa hiyo huwezi kulinganisha waghana na watanzania watanzania tuko mbali sana na waghana na tunatofauti kubwa sana kuanzia maendeleo sura n.k n.k

    ReplyDelete
  22. PIA MIJI YAO IMEKAA KIMASLINI SANA.JAMANI BONGO NIKAMA US.NDIYO MAANA WAGANA WENGI WANAISHI TZD.

    ReplyDelete
  23. hah haha haa, anony wa Thu Aug 09, 10:40:00 PM 2012 umesema kweli, hata mimi Fufu imenishinda! Nna rafiki zangu wa Benin na Cameroon pia wanakula fufu, nadhani zipo za aina tofauti nyingine kama vitumbua hv inatiwa sukari tu haina iliki na ni nyeupe kama ankal Misupu aliotuwekea. Upishi wake pia wa ovyo ndani ya mifuko ya plastiki, lol. Ugali upo juu japo mwenyeji wg mzungu nae anauponda ati hauna virutubisho (lishe)vyovyote hushibisha tu. Basi mie humwambia kuna ugali wa dona una lishe tele (japo mie dona sithubutu kula kwa jinsi ladha yake nisivoipenda)

    ReplyDelete
  24. Hapa UK, especially milton keynes madada zetu asilimia 90% wameolewa na waghana sasa unataka kumananisha na dada zetu wanakula huo uchafu, uwa nakutana nao market wanagombania COCO YAM, Soon bongo itajaa mma half cast wa kighana na kibongo,!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...