Hiki kibanda cha kupumzikia abiria wanaosubiri usafiri katika kituo cha Daladala cha Kinondoni Kanisani,ambacho kilipiga mueleka siku nyingi zilizopita na wahusika wamekichunia kana kwamba hawakioni vile.sasa kutoka na kuanguka kwake na kufunika sehemu ya kukaa,abiria hao wameamua kukaa juu ya kibanda hicho huku wengine wakiendelea kusoma matangazo yaliyobandikwa kwenye paa la kibanda hicho.
Home
Unlabelled
Kituo cha Daladala Kinondoni Kanisani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zebadayo upo hapo?..mm siludi hapo hata kwa fimbo..vitu vidogo kama hivyo very simple lakini vinawashinda...mm mwezenu nipo uk natwanga na kupeta...sasa swali kwenu wadau wote wapenda maendeleo ya nchi yenu.. 1,hivi hilo jiji la dar lina lina wabunge?..2, pana mkuu wa mkoa?..3, pana wakuu wa wiraya?..na kama jibu ni wapo basi wapo wapo tu kula nguvu zenu..mm nilistuka mapema ya kwamba hapo sipo kabisa ndio maana nimesepa mapema..hapo dar hivyo je kule kwetu mji kasoro bahari ukipenda ita moro au mg itakuaje?..angalizo kwa wadau wote wa michuzi...mm sikusoma ila naona mbali sana..ndio maana najiita...tajiri wa mawazo endelevu...mpo hapo?...amani kwa wadau wote..bye 4now.
ReplyDelete