Ni miaka mitatu sasa (10/8/2009) tangu Mpendwa baba yetu Samwel Lewis Mbezi (kidume sr) Ututangulie mbele za haki,Unakumbukwa sana na mkeo,watoto zako na wajukuu wote bila kusahau familia ,marafiki na jamaa zako kwa Ukarimu,Ucheshi na misaada yako. Tulikupenda sana lakini Mungu akakupenda zaidi.
Raha ya milele umjalie eebwana na Nuru ya daima ikuangazie..



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...