Baadhi ya Mabalozi wa nchi mbali mbali ambao ni sehemu ya wateja wakubwa Shirika la Ndege la Emirates hapa nchini,wakipakua ftar wakati wa hafla ya kuftarisha iliyoandaliwa na Shirika hilo kwa ajili ya wadau wao,katika hoteli ya Serena,Jijini Dar.
 Baadhi ya Wateja wakubwa wa Shirika la Ndege la Emirates wakijisevia Ftar katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Emirates hapa nchini wakiwa kwenye hafla hiyo.
 Wadau wa Emirates wakipata ftar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hey Muna bhai! usimalize salad hiyo!

    ReplyDelete
  2. Jee, tunapofutarisha kuna maskini wowote wanaoalikwa kwenye hizo futari? Kama hivyo sivyo basi ni dhahiri kuwa lengo la kufutarisha huwa halifikiwi na hivyo huwa hakuna thawabu zinazopatikana.

    ReplyDelete
  3. Hebu ngoja kwanza , jamani swali, hawa wenye vimviringo vyeusi kichwani-si ndiyo wenyewe kabisa , vipi hapa sasa wanakula kwa uma ??? au kizazi kipya ??? Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. Zebedayo hujawahi ona mzungu anakula kwa mkono?

    ReplyDelete
  5. Wajinga ndio waliwao. Mawazo finyu, elimu finyu, na ujinga ndani yake. Siku moja nilikwenda CCBRT kupima miwani. Kila akinipima daktari namwambia sioni vizuri, nilikuwa naona double. Akakaa na mwenzake ananisema "I don't know whats the problem with her", then nikamwambia, "are you two talking about me" she was shocked because she thought I wearing a hijab dress, I was uneducated and could not know english. See she was a doctor by profession but had only a certificate but not educated. She felt very stupid and apologised after telling them "how about reporting this to the authorities". ACHENI UJINGA WATANZANIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...