Kwako Ankal,
Natumai uko salama nchini Ghana, na umefanya shopping ya Eid kwa akina Selah.

Naomba uniweke kwenye blogu yetu ya jamii na uniwie radhi kwani asha kum si matusi, naelewa huu ni mwezi mtukufu.

Ninaandika hili kwasababu ya maombi ya akina kaka kwenye 'comments' zao katika ile mada ya usafi wa kwapa. Mimi huwa ni msomaji wa comments sana na niliona akina kaka fulani wakisema na usafi wa nyeti je?

Ni kweli kwa sisi wanawake kama usafi wa nyeti hauzingatiwi basi harufu mtindo mmoja. Kwa ujumla ni muhimu kusafisha nyeti mara mbili kwa siku (kama inawezekana) asubuhi kabla ya kwenda kwenye ujenzi wa taifa na usiku kabla ya kuingia kitandani. 

Usafi wenyewe unatumia maji ya kutosha,osha sehemu zote kutumia mikono (usitumie madodoki yanayokwaruza, na kama kucha ndefu vaa gloves usijiumize).Ni visuri pia Ukiweza tumia douche maalumu (zinapatikana madukani) ila bongo nadhani shoprite na supermarket zingine kubwa. 

utaitambua kwa jina [inaandikwa usafi wa eneo fulani] V***** Douche ni kama povu fulani hivi lisilo na harufu basi tumia hiyo kidogo tu mara 2 wakati wa kujisafisha. 

Kama hiyo huna tumia sabuni yoyote isiyo kali [kama sabuni maalumu za kuogeshea mtoto, kama unamtoto basi nunua spesheli ya kwako na moja ya mwanao usichanganye] ukitumia mbuni/kuku basi iwe kidogo sana. ukizidisha sabuni itawasha. Pia mdada mara zote ukienda haja ndogo basi tumia maji, kama hakuna tumia toilet paper. [unaweza kutembea na kiasi kwenye pochi. 

Mwanamke kujipenda bwana ukiwa na wanja, na TP pembeni. Na muhimu sana ni kukumbuka nguo ya ndani kwa mwanadada ni asubuhi nyingine usiku nyingine [hasa na joto la bongo].

Usirudie kuvaa marambili MWIKO. Na usivae ikiwa haija kauka vizuri.

Basi ukifata haya utakuwa unanukia murua. Hakuna cha pafyumu ya huko wala deodorant. ni usafi tu.

Kama una swali binafsi kwa hili andika kwenye comments. Ila mimi si daktari, nesi wala mganga. 

Kama tatizo lako linahitaji utaalamu waone waliosomea.
Asante Ankal
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Bora ungesubiri mwezi mtukufu ukaisha.Umeharibu saumu yangu

    ReplyDelete
  2. Hapa sasa poa , maana duh !!!! aibu jamani ,harufu huko chini ?? ina kera kishenzi,halafu kingine ambacho hukukigusia , mwanamke kuvaa chupi iliyotoboka ni maajabu sana , maana chupi inatakiwa ionekane safi kisha mwanaume ndiye akuvue hiyo chupi siyo wewe mwenyewe .Halafu wanawake wengi wanataka taa zizimwe wakati wa kitendo cha ndoa ,kwa nini ??? wewe mdau wa leo naomba unijibu .wako Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  3. saafi sana mama!

    ReplyDelete
  4. Embu mtoa mada google namna ya kusafisha K hacha kuwalisha wenzio kasa. Nyie ndio mnasababisha kutoke harufu wakati kumeumbwa kujiswafi kwenyewe.

    Hizo chemicals unazosema ni hatari na zinasababisha kansa ya kizazi. Tatizo mnafata matangazo ya biashara badala ya maelekezo ya wataalamu wa afya.

    K ina harufu yake natura na hata mwenye K mwenyewe anavutiwa nayo. Nyie mnaotumia masabuni na chemicals ndo mnakaribisha bakteria wapya wanaoleta harufu na miwasho na uwezekano wa kupata kansa na STDs

    ReplyDelete
  5. Maneno hayo,safi sana michuzi na timu yako. Jambo muhimo hilo sana kwa maisha yetu.

    ReplyDelete
  6. mi naongea kama daktari,douching the vagina is NOT good inakaribisha candidiasis vaginalis ama fangasi kwa kiswahili,pia inaharibu Ph(acid/base) ya vagina kwa hiyo kuuwa vidudu ambavo kwa maumbile alowaumbia wanawake ndio wenye kukinga magonjwa ya vagina
    na kwa upande wa ukienda haja ndogo ni bora kutumia maji kivyovyote vile na SIO toilet paper abadan ama yatakuwa yaleyale ya kujitafutia maharufu na maradhi ya vagina.

    ReplyDelete
  7. mkojo ni sterile ila una harufu ndio maana wadada wa kiislam(hususan khamsa swalawaat) kila wanaposhii ni lazima kuosha kwa maji na c TP,kama ni TP basi ukiyafumania maji tu unasuuza k

    ReplyDelete
  8. Douche ni marufuku. K inasafishwa kwa maji safi tu, na hupaswi kujichokonoa. Sabuni zinaua bakteria wazuri na kusababisha acid ya K kupungua na mwishowe fangasi wanashamiri. Mama tunakushukuru kwa kutaka tuwe wasafi lakini njoo na fact sio kuvamia fani za watu asante.

    ReplyDelete
  9. Wale akina mama wa vijijini mnawaweka kundi gani manake hizo dawa za kusafishia hawazifahamu,siku zao za kwenda 'huko juu hewani kwenye sayari' zikifika wengine wanatumia pamba na marapurapu...Na bacteria hawana na ndiyo wametuzaa wengi wetu.Nawasilisha.Mada kama hizi sisi watz tunazionea aibu(Soni) matokeo yake tunasumbuliwa na magonjwa ya zinaa

    ReplyDelete
  10. douching is no longer recommended as a safe or healthy way to routinely clean the vagina see; http://womenshealth.about.com/cs/azhealthtopics/a/vagdouching.htm

    ReplyDelete
  11. Usafishaji mzuri wa maeneo hayo ni kutumia maji ya kutosha na yaliyosafi, full stop!

    Anon. no 8. akhsante kwa kufahamisha pia.

    Douche ni njia mojawapo miongoni mwa "Therapeutic irrigation". Ndio inaweza kutumiwa, but mostly for hygienic reasons and sometimes hutumiwa for medicinal purposes or as a contraceptive measure. Nadhani ni vyema kupata ushauri wa kitaalamu, wa uhakika na wakutosha juu ya matumizi sahihi ya 'Douche' endapo mtumiaji hana uhakika na matumizi yake pamoja na athari zake. Lakini maji yaliyo safi na ya kutosha pengine na hiyo sabuni kama alivyofahmisha mtoa mada (mradi iwe haina madhanra kwa mtumiaji), basi hiyo ni njia maridadi kabisa, nyepesi na rakhisi ya kujisafisha maeneo hayo na kukupa uhakika tosha wa kuepukana na kharufu pamoja na matatizo mengine kama vile Fungus e.t.c. Labda mtu awe na maambukizo ya maradhi mengine, that'ill be another case, itabidi akaonane na wataalam husika.

    ReplyDelete
  12. Aisee leo ,nimejifunza mambo mengi sana ,kumbe kuuliza siyo ujinga, maana hili tatizo la harufu ya K limenisumbua muda mrefu sana , enzi za shule ya msingi-maana ilikuwa kila msichana ukimpata na harufu mbaya ya K. Siku hizi kuna video na sisi wabongo kwa kuiga,basi siku moja nikataka nijaribu yale niliyoyaona kwenye video,nikazamia, hiyo harufu niliyoikuta huko,nimekoma ubishi. je ? mlioko majuu,hizi kanda vipi ?? au ni feki-mbona huko tunaona watu wanazamia chini tena kwa roho safi sana bila ya kukunja uso ??. Halafu daktari wewe ,unayesema hii harufu ni nzuri haina bakteria duh ??? tafadhari toa ushauri mwingine.Ni mimi msema oups?? Mdau.

    ReplyDelete
  13. Haa yaani mtoa mada wacha kabisa mambo yako! wakaka wengi wanapenda kale kaharufu kwa taarifa yako na hiyo unaleta ya douche ni kuiga tembo huko na utapasuka msamba.

    ReplyDelete
  14. mwanamke kama hajaanza relation na mwanaume hawezi kuwa na harufu hata kama hajajisafisha,,kwa kuwa na harufu kwa mwanamke inatokana na mkutaniko wa majasho ya watu mawili let say mwanamke kakutana na mwanaume bila ya kujisafisha,,mambo ndio yanakuwa kama hivyo tena ,,mie navyojua kama hujaanza kukutana na mwanaume au umekaa muda hukukutana na mtu hamna hata haja ya kujichokonoa kwa kujisaafisha ,,uchafu wenyewe hutokaa wenyewe naturally either wakati wa aja kubwa au ndogo..na ni better kutumia mmaji tu na sio masabuni ya chemicals kwa mana tunaweza jiletea cancer...na kina kaka nawaomba msipende kukaa vikao na kusema fulani ananuka kama umemsikia mwite pembeni mwambie .

    ReplyDelete
  15. Ka harufu ndo mpango mzima, hasa sisi tulio vijijini yaani nouuuummmmaaaa

    ReplyDelete
  16. Mtoa mada weka pia jinsi ya kusafisha mijamaa, hasa ile isiyojua sunna, nayo pia inanuka sana

    ReplyDelete
  17. mleta mada nadhani ameongea kulingana na experience, na nadhan Zebedayo pia. Il aZebedayo umejiumbua, sasa hao wanawake wenye chupi za matundu, na wale wanataka kuzima taa, si inatwambia wewe unatemebea na wengi? basi unachokifanya sio tendo la ndao kwani hiyo ni kwa mke wako wa ndoa, hao wengine, mnaangushana!
    sasa kuhus huyo mdau anashangaa akina sii tunazamia, sasa kama umepandisha, harufu utaisikiaje? ni baada ya kukojoa ndipo unajuta..hata hivyo kwa majuu wanazitunza K..ila utamaduni wa kuiga..kwani kwa Bongo, mfano kijijini, mtoto akupe vitu halafu uanze kuishika au kuinyonya atadhani haujui kazi..mimi nakutegea halafu unaanza kuipapasa, kwanini? ndio maana hata taa wanataka kuzima..waliondelea, anataka akuonyeshe, unaiona, mnashikana, then mchezo..lakini kwa wabongo wengi mfadhaiko mwingi, hiyo subira ya kushikana ipo? ni 'sprint' baadae mnaweza kutomasana..au? Zebedayo unasemaje hao wa kwako kibao?

    ReplyDelete
  18. kwi kwiiiii...nimechekaaa. Na nimejifunza pia. topic nzuri ingawa mara nyingi ktk hili watu wengi wana mitazamo tofauti. BUT kubwa nalojua hapa ni kuwa Douche zio nzuri kiafya, K inasafishwa vizuri kwa maji safi na sabuni zisizo kali kama wengine walivyoshauri. Haishauriwi kuingiza ingiza vitu katika K, but kama ulishaanza kufanya hivyo mathalani kusafisha ndani kwa kuchokonoa inabidi uendelee kwa sababu umesha distrurb ule mfumo wa kujisafisha wenyewe. But nafikiri tatizo la kunuka wakatio mwingine lasababishwa na wahusika wenyewe bana Watu wanaweka vitu vya ajabu kwenye K, mbona zinakoma mara malimao, mara Misk sijui SHABU n.k fulll kudanganyana ... kina mama tupunguze kuigiza igiza mambo ukisikia kitu sio lazima uka practice. akili kichwani mwako. na nyie BABA's kama ukienda kula chu..i kuna shida huko.. u just tell ya partner on a good way instead of kubwabwaja mitaani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...