Taste of Tanzania @ DICOTA 2012
1. -Wali wa nazi, mchuzi wa nyama, spinach, na fruits.
2. -Wali wa nazi, maharage, mishikaki, kachumbari na tunda.
3. -Pilau, mishikaki, kachumbari, fruit.
4. -Kande, kuku wa kuchoma, mboga za majani, matunda.
5. -Ndizi za nyama, kuku wa kuchoma, mboga za majani au kachumbari na matunda.
6. -Wali mchanganyiko (vegetable rice) mishikaki au kuku wa kuchoma, kachumbari, matunda.
7. -Ugali na nyama ya kuchoma na kachumbari na matunda.
-Kila sahani itakuwa na complimentary kitumbua kimoja na maandazi mawili kwa ajili ya kuonja tu. Ukihitaji hivyo kwa ajili ya asubuhi agiza na chakula ili vitayarihwe mapema.
-Vitumbua na maandazi vitapatikana kwa order tu.
-Maji, soda, chai, kahawa na bia vitakuwepo kwa gharama zako, tafadhali agiza mapema ili viandaliwe.
Kwa mawasiliano kwa ajili yak u-order piga simu zifuatazo
Contact number kupiga ili kuweka order ni
312-493-7126
or 773-592-0140
or 224-623-1244
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...