Mwanzilishi wa Mbio za Mbuzi za Hisani Dar es Salaam, Paul Joynson-Hicks (katikati) akizuingumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Septemba
1 mwaka huu katika Viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta, jijini humo. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa mbio hizo, Karen Stanley na baadhi ya wadhamini wa mbio hizo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...