Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiongea wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema akiongea kwenye wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mgeta katika jimbo la Kilombero mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya mikutano ya operesheni Sangara.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiongozana na viongozi mbali mbali wa chama hicho, walipokuwa wakivuka katika
kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
kivuko cha mto Kilombero wakitokea jimbo la Kilombero kuelekea jimbo la Ulanga Magharibi, katika mikutano ya Operesheni Sangara inayoendelea katika mkoa wa Morogoro. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa mkoa wa Tabora, Kansa Mbaruok.Picha na Joseph Senga
LAITI HIZO PESA WANGEFANYA HARAMBEE KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO ,INGEMAKE SENSE ZAIDI,WANGEELEKEZA KWENYE HUDUMA ZA MAJI,AFYA ,ELIMU NINGEONA WANA NIA KWELI YA MABADILIKO..................KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUZUNGUKA NA HELIKOPTA NI SIO SAHIHI KABISA.
ReplyDeleteTHUMB UP IF U AGREE
MDAU
I dont Agree with your coment.
ReplyDeleteTunataka tuwape dola ili waweze kuyatatua hayo matatozo uliyoyasema. Hatuwezi kutatua matatizo yote ya jamii kwa kuchangishana wakati tuna serikali na rasilimali nyingi na kodi tunakusanya nyingi.
Nafikikiri ni vyema tubadili utawala dhalimu na dhaifu kwanza tuweze kusongabele.
Afya , elimu na huduma za jamii pamoja na miundo mbinu ni shughuli ya chama tawala yenye serikali yaani CCM.
ReplyDeleteSi unaona CDM walivyobana matumizi kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kutumia meza ya kijiji kama jukwaa.
Kazi ya chama pinzani ni kubainisha kuwa serikali iliyopo madarakani inapaswa kufanya vizuri zaidi ktk huduma za kijamii na miundo mbinu pamoja na kubana matumizi.
Mdau
Kijijini
Mdaula
JOSHUA NASARI:
ReplyDeleteUnatumika kama chuma ulete !
Jamaa wanavuna mapesa mamilioni yote hayo kupitia mgongo wako !
Angalia katika mchakato wa Uchaguzi ulidai Mpinzani wako Siyoi Sumari hakai Arumemeru akipewa atawaacha wapiga kura na kuaa zake Dar.
Sasa wewe upo Arumeru?
Wewe Mzee mgolole na bahari wapi na wapi?
ReplyDeleteAhhh wapi na hilo lishuka lako,
Si utazama bureee!
hongera chadema 2ko pamoja aluta continua
ReplyDeleteHAHAHAH NICHEKE MIE ALLOWANCE ZA HAWA JAMAA OPERATION SANGARA OGOPA HAHAHA CHD KIBOKO...
ReplyDeleteukimbi umejaa kabila la Lema na Mbowe kazi kweli kweli
ReplyDeleteKweli hapa nakubaliana na mabadiliko lakini sio kuchangishana pesa kwa ajili ya kulipana POSHO na kwa wle msiojua kwa taarifa yenu hizo pesa mnazochanga ni kwa ajili ya kulipa posho za hawa jamaa,huwezi kukosoa mpinzani wako kwa mijineno tu toa kitu japo hosp mpja tu!Hawa jamaa wote sawa na ccm wadau lao moja hawa jioni unawakuta pamoko wanakula gahawa!
ReplyDeleteHuyu Joshua Nasari naye magumashi matupu siku hizi ashahama Arumeru hakai tena
Kanyaga twende mpaka keeleweke
ReplyDeleteSlaa analipwa mshahara million saba za kitanzania kwa mwezi na marupurupu juu, ndio kubana matumizi huko.Danganya toto.Hizi pesa za kulipa hawa jamaa posho za kufa mtu.
ReplyDelete