Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa pensheni wa PPF, Bw. William Erio (Kushoto) akiongea jambo na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo, Bw. Nassoro Baraza (Katikati), na Mama Mwamini Tuli, kwenye futari aliyowaandalia wafanyakazi wa mfuko leo jijini Dar es salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu, kwa wafanyakazi wa mfuko huo jijini Dar es Salaam jana
Meneja Uhusiano wa mfuko wa pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akifuturu kwenye futari iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Hoseah Kashimba (Kulia) na Meneja wa Huduma kwa wateja na masoko wa mfuko huo, Mbaruku Magawa, wakati wa futari hiyo.






Lulu,
ReplyDeleteFanya DAYATI bana, unazidi KUNENEPA bana.
Ni mimi nduguyo wa siku nyingi A.M