Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu,Rais Yower Kaguta Museveni wa Uganda mwishoni mwa mkutano huo uliomalizika leo jijini Kampala Uganda.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini maazimio ya wakuu wa nchi za Maziwa Makuu mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Speke’s Bay Resort,Munyonyo, KaMPALA, Uganda.
Waziri wa Mambo ya nje Bernard Membe na Meya wa Jiji la Dar es Salaam Dkt.Didas Masaburi wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea jijini Kampala Uganda ambapo alihudhuria mkutano wa wakuu wan chi za Maziwa Makuu(picha na Freddy Maro).


"Tumeshawasiliana na wenzetu wa Malawi na wamekubali jambo hili tulimaze kwa njia ya Mazungumzo" ....ndivyo anavyoonekana Mh.Membe akimweleza JK.
ReplyDeleteDavid V
tuabiyeni sasa mpaka wa ziwa nyasa ni wa kwetu au wa malawi, acheni longa longa
ReplyDeletehehehe, kumbe Dar ina Meya!!!
ReplyDeleteMeya Ameshiba kuliko Raisi!
ReplyDeleteOooh no, nani alisema bongo kuna matatizo, Look at our the Hon Mayor of Dar, ameshiba haswa na hiyo inaonyesha hana matatizo. Viatu wanavyovyaa waheshimiwa wetu siyo vya kikazi, ughaibuni hivyo wanavaa vijana. Thosse are not executive shooes at all.
ReplyDeleteAh mzee wa "Masaburi"! Wapi wabunge wa Darisalama?
ReplyDeleteMh. Mende anamiliki zaidi "red carpet" kuliko mhusika Dr Kikwete!!!
ReplyDeleteyaani kati ya vitu vingi vya maana vya kukomenti mmeona viatu tu?
ReplyDelete